kiwanja
~Kiwanja kinauzwa Maeneo ya Kimara Mwisho(Matosa) kina Mita 15(upana) Mita 30 (Urefu) Bei ni Shs Million 8 Umeme,Maji na mahitaji mengine yapo....
Maongezi ya Bei yapo
Mawasiliano 0713...
Karibu uandaliwe tender document na ushauri mwanzo mpaka mwisho.
Update.
Hii inahusu wale wenye makampuni either unataka kuintroduce company yako au tayari umeshaanza kuoperate
based in IT...
Wadau,
Nahitaji hivyo vitu hapo juu,
Nimejaribu kufatilia kwenye office zao hasa M. pesa na mashne ya betting wote wanataka leseni ya biashara mimi bado sijakata. Max malipo au selcom sijajua...
Habari za Leo wadau,
Natafuta Gari tubadilishane na Mbao za paini za kipimo atachohitaji, yeyote aliye na Gari ataeridhia hili, niko Mufindi mkoani Iringa. Nahitaji Gari kati ya
Noah, Carina...
Official Budget Resort Lounge
Launch.
Kama wewe ni Mstaarabu basi hii inakuhusu
ijumaa ya Leo kuanzia saa moja jioni kutakuwa na live Jaz Muzic by golden lady Getrude band in the new budget...
Chuo kikuu cha Iringa Tawi la Amani Njombe kinatangaza Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kozi zinazo tolewa ni 1.Maendeleo ya jamii 2.usimamizi wa biashara 3.Ushauri nasihii 4.Tehama...
Rejea kichwa cha Habari, nipo Mwanza nahtaji kununua king'amuzi chochote kilichotumika hasa Startimes, mwenye nacho anichek pm au weka namba ntakupigia
Asante
Chuo kikuu cha Iringa Tawi la Amani Njombe kinatangaza Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kozi zinazo tolewa ni 1.Maendeleo ya jamii 2.usimamizi wa biashara 3.Ushauri nasihii 4.Tehama...
Bei ni milion 2 na nusu
Zipo ekar 20
Linapatikana mkoani njombe Ktk tarafa ya lupembe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Heshima kwenu wote.
Tunawakaribisha wazazi na wanafunzi kwenye shule yetu ya Nseluka day care,iliyopo Pongwe,mtaa wa Sumbawanga,jijini Tanga.
Tunapokea watoto wa kutwa kuanzia miaka 1-7 wa jinsia...
Clearing and Forwarding company is available for sale.
Company has;
1. Clean records with TRA.
2. Valid TRA trading license.
3. Registered under TAFFA
4. Valid license and registration...
Habari zenu wakuu naomba msaada mwenye kuuza kioo au tv yake mbovu lakin kioo kizima aniuzie kioo chake yaani roho inaniuma sana nikiangalia tu yangu haijavikisha wiki 1 kioo kimepasuka...
JINA: ELISHA MATABE CHARLES 0754 56 51 94
TAREHE 6 MAY 2017 ALIKUA KITOKEA SHINYANGA KWENDA MWANZA KWA BASI, ALIPOTEZA BEGI LA MGONGONI LIKIWA NA VITU VINGI ILA VYA UMUHIMU NI CHETI CHA SEKONDARI...
Ninahitaji betri ya HTC One Max kama kuna mtu anayo naomba aniinbox bei na jinsi ya kuipata pia aseme kama ni ya mtumba ama mpya na kama anaweza kuifunga kwenye simu yangu. Asanteni kwa msaada wenu.