Chuo kikuu cha Iringa Tawi la Amani Njombe kinatangaza Nafasi za masomo

kidzumbe

Member
Jul 27, 2014
33
2
Chuo kikuu cha Iringa Tawi la Amani Njombe kinatangaza Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kozi zinazo tolewa ni 1.Maendeleo ya jamii 2.usimamizi wa biashara 3.Ushauri nasihii 4.Tehama 5.sheria
NB:sifa za muombaji kwa kwa cheti awe amehitimu kidato cha nne na kufauru angalau masomo manne kwa alama D na diploma awe amemaliza kidato cha sita na kufauru angalau masomo mawili kwa Alama D na S Maombi yote yatumwe chuoni. NACTE wamerudisha utaratibu chuoni wa kudahiliMwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20/08/2017.
kwa mawasiliano zaidi piga Simu 0753580894.
 
Back
Top Bottom