Natafuta kioo cha tv hii

May 9, 2017
9
0
Habari zenu wakuu naomba msaada mwenye kuuza kioo au tv yake mbovu lakin kioo kizima aniuzie kioo chake yaani roho inaniuma sana nikiangalia tu yangu haijavikisha wiki 1 kioo kimepasuka niliagizia kutoka Zanzibar tv yenyewe aina ya Toshiba inch 46 lcd

Kama unaweza kunisaidia kwa hili nicheki kwenye namba hii
0674 536633

6d6b40119ce0aace94851d4673753316.jpg

ba09066d40ee5f796dafc871103450a0.jpg

7dcfc1ca53e86613b0fb5a6df089856b.jpg
 
Pole mkuu....
Kwa hizi tv za kisasa, gharama kubwa ya hiyo tv huwa ni kioo (display). Kununua kioo kingine inaweza kufika asilimia 70 ya gharama ya tv yenyewe!
 
Asante mkuu unavyosema ni kweli mana niliulizia kwa mafundi watatu tofauti tofauti bei zao 450,000/ 500,000/ wanacheza umo wengine wanasema hakipatikani ila mm nikipata mtu mwenye tv kama hii ni mbovu aniuzie kioo
 
Hizo tv zinaharibika kioo tu. Mimi niliweks thread humu kioo kilizingua, nimenunua tv ingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom