Msaada vyeti na passport vimepotea!!

Illmatic2015

New Member
Nov 27, 2016
2
2
JINA: ELISHA MATABE CHARLES 0754 56 51 94

TAREHE 6 MAY 2017 ALIKUA KITOKEA SHINYANGA KWENDA MWANZA KWA BASI, ALIPOTEZA BEGI LA MGONGONI LIKIWA NA VITU VINGI ILA VYA UMUHIMU NI CHETI CHA SEKONDARI NA CHUO PAMOJA NA PASSPORT.

TAFADHALI TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU KUSAMBAZA TAARIFA HII.
ASANTENI
 
ndo alikua anaenda necta nini? pole yake nadhan hapa panasomwa na wengi huwenda vikapatikana
 
Back
Top Bottom