Moo Entertainment ni kampuni mpya inayojihusisha na Video productio zote!
kama wewe ni msanii wa music, kwaya au bendi na unahitaji kutengeneza video nzuri ya nyimbo zako basi karibu saana Moo...
Miimi no DSA wa Tigo, tuna huduma mpya kwa watu binafsi na makampuni pia. Huduma yetu inaitwa POSTPAID yan Mteja unapata Fursa ya kupiga simu, kutuma msg na mb's unatumia mwez mzima then unalipa...
Star x TV nch 50 USB2 HDMI2 AV2 VGA1
Inachanel zake ndani Free za local
Pia inawarrant miaka miwili pindi ikikusumbua tunakubadilishia mpya
Price 1200000
Tunapatikana kariakoo msimbazi...
unaweza kuunganisha nguvu na mwenzako mkapata viwanja viwili vilivyopimwa kwa bei ya kimoja (two-in-one), bei unapanga wewe ila aneyefika dau la juu zaidi ndiye mnunuzi.
viwanja vipo eneo la...
Habari wadau, tunatafuta mnunuzi wa mahindi na maharage ya njano vyote vipo mkoa wa Songwe.
#Mahindi yapo gunia 250 na bei kwa kilo 650
# Maharage yanauzwa tsh. 2000 kwa kilo( Bei yatafikishwa...
Usisahau OFA bado inaendelea kutoka kwangu kuja kwako mteja wangu. Ni punguzo la bei kwa 30% kwa bidhaa yeyote ya Oriflame uipendayo.
OFA ITAISHA tarehe 5/6/2017...
Kumbuka Oriflame ni kampuni...
Wakuu mimi ni kijana niliehitimu chuo hivi karibuni,kutokana na issue za ajira kuwa ngumu nimeamua kujiajiri mwenyewe kwahio nahusika na upima ardhi wa aina yoyote kuanzia cadastral...
Kwa wafanya biashara ya duka karibuni vipo vibanda vya kufanyia biashara vinapangishwa, eneo la Majohe kwa Baba issa karibu na ofisi ya CCM Majohe. Vimejengwa kisasa kabisa bei Tshs 50,000/= @ mwezi.
Nyumba iko kivule....eneo tulivu.nyumba Ina room moja n'a master,sitting room,jiko,vyoo na bafu vya public
Vipo.....nyumba ina tiles,gypsum,madirisha ya aluminium,nyumba Ina fence na geti...
Colour:Silver T814 CWZ
Mileage:135,000
Year of Manufacture:2001-2002
Price:6.5 Mill
No any mechanical problems,if you're interested please contact 0622-027490..
See the pictures below..