Mahindi na maharage ya njano

Hamidu Mindu

Member
Apr 14, 2017
38
27
Habari wadau, tunatafuta mnunuzi wa mahindi na maharage ya njano vyote vipo mkoa wa Songwe.

[HASHTAG]#Mahindi[/HASHTAG] yapo gunia 250 na bei kwa kilo 650

# Maharage yanauzwa tsh. 2000 kwa kilo( Bei yatafikishwa hadi Dar )

** Maongezi yanaruhusiwa 0652601602. Karibu wote
 
600 itakaba sana maana kusafirisha juu yangu. Au usafir kwako?
Tukifikia kwenye bei tutajua jinsi ya kushare cost boss au usafiri unaweza kuwa kwetu kabisa . Kama vipi nitafute whatsapp tuyajenge 0652601602
 
Sasa mkuu huku mtaani wanauza Elfumbil miatano kilo Na mm nanunua niuze jumla huoni faida haitakiwepo kabisa
 
Mkuu fanya hiv, Mahindi nitanunua kwa Tsh 500 @kg na Maharagwe kwa Tsh 1850 @kg. Nachukua mzigo wote ulionao kama umekubali eleweka tuyajenge. Nitarudi jion usije kuona kimya ukafikili nimekwambia kunakaz naenda kufanya maeneo flani.
 
Maharage umepata hakuna tabu , tani ngapi maharage unahitaji? Ila mahindi baba fanya 600
 
Back
Top Bottom