Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,659
- 58,997
who knows how much working permit class C cost?
thanks in advance
thanks in advance
500usd.. milioni moja na kitu.who knows how much working permit class C cost?
thanks in advance
Ha ha ha .ni hapa tzNafikiri anamaanisha kwa bashite. Maana hana jeuri ya kuvuka mipaka huyu.
500$ ni kabila ya huyu jamaa kwasasa sijajua ila haitakuwa imepanda saana. Ila bado balozi za jirani kama Zambia bado ni kwa hiyo cost angalia hapa Residence and Work Permits Class A, B and C | Tanzania High Commission in Lusaka, ZambiaAsante slim.
Japo data zako ni za zamani.
It cant be 500$
Itabidi tu niende pale wizara ya kazi. Nilijua JF ingenisaidia..
Registration fee tu ni 1,000$
TZ broIn which country, because the permits differ?