mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 87,025
- 120,324
Nyumba iko kivule....eneo tulivu.nyumba Ina room moja n'a master,sitting room,jiko,vyoo na bafu vya public
Vipo.....nyumba ina tiles,gypsum,madirisha ya aluminium,nyumba Ina fence na geti ...uwanja mkubwa tu wenye pavement blocks....nyumba Tangu ujenzi uishe haija wahi kaliwa
Umeme,maji upo....kodi ya mwezi ni 350,000/
Kwa mawasiliano piga sim 0715591141(mm syo dalali ni mhusika)karibuni