Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto. Msaada wajameni
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Mimi ni Afisa Mifugo daraja la II katika halmashauri ya Mji Tarime. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo aliyope mikoa ya Njombe,Iringa,Mbeya,au Ruvuma 0762940676
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Iwe ni huawei p8 lite Au sumsung note 1
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Shimso Foods inawaletea huduma ya vitafunwa aina zote kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake [emoji364]Vitumbua 300 [emoji364]Chapati 500 [emoji364]Kachori 300 [emoji364]Maandazi 300...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kimejieleza nahitaji hicho king'amuzi kwa bei ya wastani, mpya imenishinda vya promo bado.
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Natafuta Nyumba ya Kupanga IRINGA.
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
New Habari wana forum nina chumba kingine lengo nahamisha wapangaji wenye familia na kuleta wanafunzi. Cha mwanzo nilicholeta tangazo nashukuru nilipata mwanafunzi hii ni fursa yako nzuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ramadhan offer Brand new items for home use Best quality 0715677739 Dar *Mixer 315,000/ only Bish rice cooker 2.8 Litres 60,000/ Microwave with grill Russell Hobbs 150,000/ 20 litres volume...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Original Haina chaja wala phone Ipo kama inavoonekana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii offer ni kwa watumish wa umma(watumish wa serikali) ,halmashauri...n.k Hii ni company mpya APA dar HQ zipo posta mpya Uzur wa hii kitu unaweza kukopeshwa hata ukiwa na madeni..Kwenye taasisi...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Wakuu heshima kwenu. Nahitaji kujua bei za matanki ya maji kwa Dar au Moro kwa size tofauti tofauti na makampuni tofauti ili nijibalance kwa mpunga wangu kidogo nichukue size gani na kampuni gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko la umeme used toka denmark..juu Ina kioo(ceramic) Iko na oven pamoja.... Bei ya kuuza ni 370,000/ Haya makini ni imaraaa sana Kwa mawasiliano piga simu 0715591141 dar OvA
0 Reactions
9 Replies
5K Views
iwe toleo jipya ila iliyotumika hela shida sa hivi, bei ya mpya sifiki. Nitumie message tuwasiliane zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sound nzuri na yahuwakika
0 Reactions
8 Replies
3K Views
JITA VTC, inakaribisha watanzania wote wenye nia ya kujipatia ujuzi ili waweze kujiajiri na kuajiriwa. kozi zitolewazo: > Ususi na urembo (mambo yote ya salon za kike) WIKI 12 > Ufundi simu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kweli uhamisho wa watumishi wa umma umefutwa hapa nchini tz? tangu rais aingie madarakan nimeona stahiki ya kuhama inapuuzwa ilihali watu wanamatatizo ya kiafya nk.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Natafuta pilipili mtama (black pepper). Quantity = 500 KGS, hii Ñî biashara endelevu. Nitahitaji tena 5,000 KGS baada ya siku 30. Tuwasiliane 0655308308.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sub woofer ni mpya na zimetoka china nauza bei ya jumla na reja reja Ukichukua kuanzia tano nakuzia bei Ya reja reja,sub woofer zipo models mbali mbali na zenye uwezo tofauti zote zina fm radio...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nafikiri kufanya biashara ya kununua nguo hasa za kiume jeans,shirt na kupeleka mkoani.Nimetembelea kariakoo wauzaji wengi wanapenda faida kubwa naomba kujua kwenye uzoefu wapi naweza pata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…