Computer4Sale Tunaprogram Funguo Za Magar Zenye Sensor

Brainze11

Senior Member
Sep 2, 2012
173
225
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk. Kama unahitaji funguo ya zaida au funguo umepoteza wasiliana nasi:-
0714704097
fbe75d7f7bc209b43ca427dd8560b934.jpg
 

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,850
2,000
Nahitaji funguo yangu iwe ina remote ya ku lock milango na ku unlock.
Ni toyota.
Bei gan?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom