Frame ya restaurant

Frame ya restaurant

Lyn Vivac

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
858
Reaction score
1,024
Habari zenu wadau,

Straight to the point natafuta frame kwa ajili ya restaurant hapa Dar, hasa maeneo yenye watu wengi au watu wengi wanapokutanika.

Tafadhali naomba msaada wenu wadau nianze ujasiliamali maana monthly salary haifui dafu kwa maisha yangu.

Natanguliza shukrani.
 
ngoja madalali wake. ,unaweza search Instagram dalali mwanamke ni dalali maarufu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom