Habari wa ndugu mimi nauza simu yangu aina na jina twajwa hapo juu.Bei ni 650,000/= hapo hamna mazungumzo. Ni nzima kabisa haina shida yoyote.
Mwenye kuhutaji anicheki kwa 0763010107
SAMSUNG J7 2016 INAUZWA.
Simu bado mpya kabisa haina tatizo lolote.
Bei ni 650,000/=. Kama unahitaji nifuate PM au 0763 01 01 07. Karibu tufanye biashara.
OFFER-OFFER-OFFER
Pata Nondo za BS-steel Turkey kwa punguzo la bei. Bei ya Tshs.1,750,000 kwa Ton.
Wasiliana nasi:
Mobile: 0766 313 300 au 0684 322 333
Website: www.jenganajeco.co.tz
Email...
Huu ndio wakati wa kupambana na kusambaza bidhaa zetu watanzania,Mikoba ya kimasai yenye mwonekano wa kisasa, kwa kina dada na kina mama kwa matumizi ya safarini,ofisini na hata kutoka out nyakati...
Eneo:CHAMAZI KWA MKONGO BLOCK A
Bei: milion 53
Ukubwa:smq1830(61x30)
location: KITUO TRANSFORMER KARIBU NA SHULE YA MISSION MKOMBOZI, AU KWA KOVA. NI kabla hujafika AZAM COMPLEX
KUTOKA STAND...
Mahali;
DAR kilwa road,mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa(chatembo)
Ukubwa;
Ft 50×50
Bei;
2.000.000 - milion mbili
Umeme,maji na barabara vipo!
Mawasiliano;
0714 775566
0683 775566
Mandhari nzuri na sherehe nzuri.Karibu Budget hall leo utengeneze historia nyingine katika maisha yako,ukumbi unafaa kwa seherehe,mikutano,tamasha na shughuli yoyote unapokea hadi watu 500 na...
Sisi ni Jenga na Jeco ni kampuni iliyo sajiliwa rasmi na tuna umoja(Network) na watengenezaji-Wasambazaji-Wauzaji-Wasafirishaji-wakandarasi-wananchi wanaojenga-Mashikika ya Ujenzi na NGO's...
Kwa mtu anaetaka kufungua kampuni ya ujenzi na hana cheti pendekezi, anitafute kwa email wilsonkaisery@gmail.com na kwa simu namba 0679541348 tufanye mazungumzo ya kina.
Salaam wote!
Napenda kuomba yeyote mwenye kiwanja au taarifa ya kiwanja eneo la Majohe ambacho kinauzwa anijuze kwani nahitaji, kiwe na ukubwa kuanzia 30" kwa 30" au zaidi.
Asanteni.
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina jamaa yangu anahitaji line tajwa hapo juu. Anapatikana Dar es Salaam. Siyo lazima uwe na line zote. Hata kama una 1 au mbili kati ya hizo lines...
*ipo soweto vijibweni kigamboni<br />*ni mpya kabisa<br />* mara ya kwanza nilipanga mm ila nilikua cjaanza biashara natafuta mtu wa kunirudishia pesa aendelee<br />ndani kuna vitu vifuatavyo<br...
Habari wadau wa JamiiForums,
Ee bana mimi natafuta shamba la kukodi heka moja liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji kwa ajili ya kufanya kilimo cha umwagiliaji.
Eneo linatakiwa liwe na...
This is a unique property exhibition ever happened in Tanzania.The event will feature top brands in the real estate ,sub sector,that include but not limited to:Real estate developers.Real estate...