Ramani za nyumba bora zinapatikana kwa bei ndogo sana na pia tunaweza kumshirikisha mteja wetu wakati wa utengezaji,tafadhari wasiliana nasi kwa simu namba 0625904597
Huwezi amini kama imetengenezwa bongo. Bongo Cars | Home
Website ya kisasa ya kuuza na kununua magari east africa nzima imefunguliwa. Sasa imeruhusu wauza magari kuanza kujiunga na post magari...
Heshima kwenu!
Nina mzani ule wa kukalisha mazao/bidhaa wakati wa kupima lakini mawe yake yamepotea pamoja na kile kisanduku kinachopitishwa kwenye rula, ningependa kujua kwa anayejua bei ya mawe...
Habari wana JF.
Nina muswada wa kitabu, natafuta sehemu ya kufanyia production. Kama unafahamu au una kampuni ambalo linafanya production ya vitabu kwa bei nafuu, naomba tuwasiliane.
Natanguliza...
Nina Shamba nilinunua chini ya kampuni wanao uza mashamba ya mradi linauzwa milioni tano ni eka tano malipo ni kwa installment nikalipa installment ya kwanza 1.5m sasa tukapata eneo lingine mjini...
Make : Toyota
Model : Landcruiser Prado
Mileage : 154,193km
Engine size: 2,700cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 1998
Doors : 5...
SULUHISHO LA NDOA.
Ni mchanganyiko wa ASALI MBICHI ORIGINAL YA NYUKI WADOGO,TANGAWIZI, MDALASINI WA INDIA,KITUNGUU SAUMU. Hii ni kwa Wanaume/Wanawake (wenye kukosa hamu ya tendo) na watoto pia...
SULUHISHO LA NDOA.
Ni mchanganyiko wa ASALI MBICHI ORIGINAL YA NYUKI WADOGO,TANGAWIZI, MDALASINI WA INDIA,KITUNGUU SAUMU. Hii ni kwa Wanaume/Wanawake (wenye kukosa hamu ya tendo) na watoto pia...
METATRON LIFT CO. LTD, Ni kampuni ya Kitanzania ambayo imejikita kwenye Uuzaji wa Lift toka Uturuki na pia tunafunga lift aina yeyote kwa bei nzuri, pia tunatengeneza lift zilizo simama kwa muda...
Nina Shamba nilinunua chini ya kampuni wanao uza mashamba ya mradi linauzwa milioni tano ni eka tano malipo ni kwa installment nikalipa installment ya kwanza 1.5m sasa tukapata eneo lingine mjini...
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412]
KWA HUDUMA ZA. (NYARAKA MBALIMBALI)
-BUSINESS PLAN(mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00...
Habari wana forum,
Nko kwenye uhitaji wa MDADA wa Kazi za nyumbani. Nna familia yenye mke na Mtoto mmoja.
Umri 15-20
Niko morogoro
Naomba nisaidiwe. Salary ni elf60
PM inahusika
Wakuu mi mfanyabiashara mdogo nataka niuze na nguo za mtumba za kike grade One.
Ctaki kuanza na Bale nataka zile za kulenga napata wapi wakuu hapa jiji Dar.
Mfano kama hizi.