Simu inahitajika

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Wadau, kunahitajika simu aina ya tecno j8, c9 au w5 kwa bei za humu jf sio bei za dukani
 
Ninayo tecno J8 ina wiki 7, bei 200000
0785030752
5153b2640d588429f73ec996d85a7257.jpg
 
Umesahau kutaja C5 ipo hapa bei 180,000/= ina hali nzuri 4g inatumia line zote mbili,

Ukishawishika nifate Pm mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom