TV4Sale 40" PHILIPS LED TV BEI NAFUU SANA

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Tv hii imetumika chini ya uangalifu mkubwa sana.
Iko katika hali nzuri kwa bei nafuu sana
0786371108

734e962886c12f121d93d3b6063956e6.jpg

f788ee7ca8e141b13082c1b09ea874dd.jpg

52a2d61372228a371ecbb5d2f35df469.jpg

4a7256cd80ce84e5e19ec1994521fe37.jpg

ef344f84ad4d8b45d2ed740a0a1a3ffc.jpg

defd82a36d23cd825878360696a62317.jpg

287f3559251d26504412caed50c3179f.jpg

Gharama ya kuuzia naanza 660,000/= ila mapungufu kidogo tunaongea.
 
Hapo umesema mapungufu kidogo labda mimi sikuelewa je ni TV inamapungufu kidogo au umemaanisha hiyo bei inapungua kidogo?
 
TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!!
 
TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!!
Vipi kuhusu ubora??... maana nyingine huonekana nzuri na bei ndogo lakini hazidumu.
 
TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!!
Okay ni wazo lako pia siwezi kataa kwa maana umelitoa kulingana na upeo wako.
 
Back
Top Bottom