*NATAFUTA KIWANJA CHA KUJENGA KIBITI AU IKWIRIRI*

Jan 29, 2017
61
66
Habari zenu wanaJF... Naomba kwa yeyote mwenye eneo kibiti au ikwiriri aniuzie... Napenda sna kwenda kuishi huko kwani nimeona kuna fursa nyingi sana za kiuchumi....
.................. Nawasilisha ombi..........
 
Sasahivi wanakugeuza take away, wanakuua na wanaondoka na mwili, hawatuachii hata cha kuzika.
 
Kama uko serious, nitafute. Mimi ninacho pale pale Ikwiriri. Kama unapajua vizuri pale Ikwiriri centre, upande wa kushoto wa barabara kuu kama unatoka Dar kwenda Lindi, kuna vijiji vinaitwa Umwe (Umwe Kusini, Umwe Kati, na Umwe Kaskazini). Changu kiko Umwe Kaskazini, unaingilia pale ilipo bar ya Kivulini, karibu na stand yao kuu ya mabasi. Kimepimwa, size yake ni ft 17 kwa ft 100 (unit yao ni futi). Bei tunaweze kuongea kama una nia, ila bei elekezi ni Tsh. 8m

Karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom