Hi guys...ninauza ethnic bags rangi tofauti..ni nzur sana kwa wadada na vijana..
Ubora wake ni mzuri pia.
Karibuni wote..
BEI NI 20,000/= TU
Mzigo ni mchache.
Kwa order tuma massage whatsapp...
Heshima kwenu wakuu
Nimefungua biashara ya nguo za kiume. Na bei ya kila kitu nauza kwa bei nafuu kbs naweza sema nauza nusu bei ukilinganisha na maduka mengine.
Hivyo nahitaji jina la duka ambalo...
Wakuu nina gari nauza Corona Premio 2007Model
Specifications: 1800cc, 76000KM, Push Start, Keyless. Color: Silver.
Imetoka Jana Dar er salaam bandarini na imelipiwa Ushuru na kila kitu
Ipo Dar...
Nyumba inapangishwa bei tajwa hapo juu.
Sifa za Nyumba:
-Vyumba vitatu; kimoja master
-Public toilet
-Tiles
-Gypsum board
-Dinning; sitting na jiko.
-Vioo
-Umeme bado
-Haina uzio
-Ipo Freetown...
Make : Nissani
Model : Wingroad
Mileage : 58,613km
Engine size: 1,990cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2006
Doors : 4
Seats...
Zipo sababu nyingi zinazopelekea kupoteza watazamaji katika tovuti yako ila kubwa kuliko ni kukosa mwonekano bora katika vinasa mtandao tofauti tofauti(smart phones, tablets, laptops etc).
Hivyo...
Kama wewe ni mfanyabiashara wa kati au juu, kampuni au taasisi, basi kuwa na Website(Tovuti) ni moja ya vitu vya lazima kwa dunia ya sasa. Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya Watanzania milioni kumi...
Je design ya tovuti yako ipo responsive(responsive design-mobile friendly website)?
Fahamu kuwa idadi kubwa ya watumiaji mtandao wanatumia smart phones kuweza pata taarifa mbalimbali katika...
Ndugu wana jamvi nimatumaini wote mnaendeleaa poa,,
Mimi nimjasiriamali,
naishi Mbozi vwawa, nimelima soya sasa natafuta soko kama kuna mtu anaconnction ya market naomba tuwasiliane kwa namba...
mi nna nyumba naiuza ipo musese kisarawe unaingilia kongowe toka kongowe mpaka huko,Ni 20KM ipo center na Kuna makaz ya watu,imepauliwa nusu ,Ina chumba cha kulala,sitting room,kitchen,choo...
Mimi niehamia morogoro nkitokea DAR na decoder yangu ya Startimes antenna Ila haifanyi kazi kwa sababu ilisajiriwa kutumika Dar tu. Hivyo basi kwa mkazi wa Dar ambaye anatumia decoder za sasa...
Habari zenu wakuu.
Banda safi sana la kufuga kuku linakodishwa. Lipo 2 in one, dogo lina uwezo wa kuchukua kuku 300 na kubwa lina uwezo wa kuchukua kuku 500.... Jumla unaweza kufuga kuku 800...
Make : Toyota
Model : Townace Truck (T-KM51)
Mileage : 54,840km
Engine size: 1,450cc (5k)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Manual
Drive : 4WD...
Make : Toyota
Model : Premio (ZZT-240)
Mileage : 86,790km
Engine size: 1,790cc (1ZZ)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive :
M/Year...