Nauza mbaazi ( pigeon peas available for sale )

Nauza mbaazi ( pigeon peas available for sale )

Hamidu Mindu

Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
38
Reaction score
27
Habari wadau, kuna mzigo wa tani 1300 za mbaazi tunatafuta mnunuzi, mzigo upo gharani hapa Dar es salaam ni mbaazi za Arusha. Zinauzwa kwa 1750 kilo 1.

Mawasiliano
+255652601602 ( whatsapp )
hamidumindu@gmail.com
 
Kama mbaazi zako ni quality,hebu weka milion 5 hapa upfront nikuconnect na soko kule india
 
Kama mbaazi zako ni quality,hebu weka milion 5 hapa upfront nikuconnect na soko kule india
 
Mkuu huwezi kumpa mtu shavu la soko mpk aweke 5million?Au kiasi hicho ni cha nn hasa?
 
Yaani mimi nauza alafu nikupe wewe hela? Ndio biashara aina gani hiyo?

Kwa jinsi ulivyomjibu ...duh umefikiria kwanini amekuambia hayo au umekurupika tu!?

Na pia ioikuwaje unalima hadi unavuna hauna soko!? Hauoni kwamba unahitaji ujuzi wa kulima na kuuza kama unafanya biashara.

Yaani umlngemuuliza hata kwamba hiyo 5m ni ya nini... sasa unajibu bila jata simile huku mwenye shida ni wewe na jibi jujui india ndio wananunua hayo kizaidi?
 
Ndugu kutafuta mteja sio kwamba soko halijulikani na utambue kua hili ni jukwaa la biashara na nimetangaza biashara. Sasa sababu ya yeye kutaka 5m for what? Naweka bond iliiweje kama anataka afike mzigo ulipo akague ukimfaa tufanye kazi.

Acha kutetea utapeli
 
Mbona kama kipindi cha miezi kama miwili mbaazi ilikuwa ikiuzwa shilingi 3000 mikoa ya Pwani, Morogoro na Jirani zao? Je mbaazi imeshuka bei kiasi hiki? Nipo tayari kukosolewa. Ahsante
 
Back
Top Bottom