Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nimeanzisha huu uzi ili wataalam wa kutengeneza mashine hizi watuelimishe. ukizingatia wataalam wa biashara, kilimo, afya nk wanatoa huduma na ushauli hum bure, hivyo naomba na na wataalam...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur. Ipo zanzibar Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima. Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia. Bei sh mil 15...
2 Reactions
36 Replies
10K Views
CPU
Natafuta CPU ya bei chee, Muuzaji Naomba bei,Budget yangu kiduchu 50-70
0 Reactions
6 Replies
847 Views
Wadau za asubuh. Nahitaji chumba na sebule+jiko kigambon ambapo patakua pazur. Dau ni 120,000 lakini inaeza kuongezeka kulingana na ubora wa nyumba. Maji, umeme visikosekane. Pia napendelea maeneo...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Nimechukua fremu ya biashara maeneo ya Kimara lakini umeme una madeni na migogoro, sasa mwenye nyumba amenishauri niweke LUKU yangu sasa naomba kujua gharama za kununua meter na kuweka ni shilingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninatafuta Travel Agent wa ATCL
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu poleni na pilika pilika za sikukuu. Wakuu napenda kutoa mrejesho. Nyumba bado haijapata mpangaji; nadhani labda ni kwa vile haina umeme; na pia labda umbali kutegemea na shughuli nyingi za...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Naitaji msaada wa kujua mtaji wa gy Karibuni wadau munipe ufahamu huo.
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Naiaji mtu ambaye anauza mkaa kwa bei ya jumla mkoani na awe katika mikoa ya Pwani, Tanga , Morogoro na awe na uwezo wa kuniandalia gunia 5-10 kwa wiki kama unauwezo fanya kuni text PM immediately...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunatoa mafunzo ya namna ya kufanya installation ya dish za aina zote na pia kufanya installation ya CCTV Camera. mafunzo ni ya siku tano tano yaani satelite dish installatuon siku tano CCTV...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Wadau kuna AC au Aircondition ukipenda unaeza kuiita kiyoyozi au mkyif inauazwa bei ya chee Mpk kufungiwa ww upate baridi inahitaji 800,000/ Model ni samsung Nicheck kupitia namba 0622001223
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, niko arusha and I have only tomorrow kukodisha vifaa hivi (climbing gear) kwa dealers ambao wako arusha kwa maana keshokutwa ndio natarajia kuelekea huko...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nauza simu aina ya samsang j1ace kwa shilingi 140,000/= ipo ktk hali nzuri kama unahitaji ni pm
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habar wadau Ninatafuta mikanda ya kimasai kama ilivyo kwenye picha... Nahitaji nina order kubwa..kama unamtu unamfaham anatengeneza naomba anisaidie mawasiliano.. Thanks wadau.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa hii no ni tapeli anajifanya anafanya kazi vodacom huduma kwa wateja Ila kwa kifupi hii no 0766652626 ilinipigia sim week iliyopita,baada ya...
8 Reactions
56 Replies
8K Views
Private jet used,2.8 billion if interested njoo inbox plz / PM 1 remain Outside the cabin Inside the cabin / cockpit
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nafanya graphics design.baadhi ya sample work ni kama vile bronchure,logo,posters,infographics,busness card,warning sign,bunner na pia waweza nipata kwa namba hizi 0629541980 Kwa wale wlionitafuta...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama upo tayari nichek 0755384659 nipo dar
1 Reactions
6 Replies
908 Views
(1)Ninzuri sana kimuonekano na hata kiufanisi wa kazi.. (2)Imetumika miezi kadhaa ila bado ipo kwenye ubora wake.. (3)Inakaa na chaji na wala haina tatizo lolote.. (4)Inaukubwa wa inches 6.3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom