Kwa wauza nafaka ..Msaada Tafadhali

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Natumaini hamjambo .....
Nahitaji nafaka tofauti tofauti kwa bei ya jumla toka kwenu, nafaka hizo ni kama ifuatavyo:-
1. Ngano isiyokobolewa
2. Shayili isiyokobolewa
3. Mtama mweupe (selena)
4. Mahindi makavu
5. Uwele ..

Kwa aliye na mazao haya au moja ya hayo tafadhali ani-PM au apige simu nambari 0787 228078 au 0655 533 543.

Tunanunua kwa kilo ...au ujazo wa gunia la debe sita. Tuko Mwanza jijini.
Nasubiri majbu toka kwenu.
 
Unalipa cash? Mimi uwezo wa kukuletea mizigo upo ila habari ya kuzungushana kwenye malipo sipendelei. Mwingine anakuandikia cheque kumbe akaunti haina pesa.
 
Unalipa cash? Mimi uwezo wa kukuletea mizigo upo ila habari ya kuzungushana kwenye malipo sipendelei. Mwingine anakuandikia cheque kumbe akaunti haina pesa.
Tunaohitaji ni sisi, weka conditions zako, tukiafikiana tufanye biashara, punguza uswahili
 
Natumaini hamjambo .....
Nahitaji nafaka tofauti tofauti kwa bei ya jumla toka kwenu, nafaka hizo ni kama ifuatavyo:-
1. Ngano isiyokobolewa
2. Shayili isiyokobolewa
3. Mtama mweupe (selena)
4. Mahindi makavu
5. Uwele ..

Kwa aliye na mazao haya au moja ya hayo tafadhali ani-PM au apige simu nambari 0787 228078 au 0655 533 543.

Tunanunua kwa kilo ...au ujazo wa gunia la debe sita. Tuko Mwanza jijini.
Nasubiri majbu toka kwenu.
Unataka ufuate mwenyewe au uletewe?
 
Tunaohitaji ni sisi, weka conditions zako, tukiafikiana tufanye biashara, punguza uswahili
Pia use me kama unanunua mahindi toka sehemu yeyote au unachagua kwa mfano Ruvuma
Ila kwenye mahindi ni vzr utaje bei unanunua kiasi gani kwa kilo endapo utaletewa mwanza
 
Pia use me kama unanunua mahindi toka sehemu yeyote au unachagua kwa mfano Ruvuma
Ila kwenye mahindi ni vzr utaje bei unanunua kiasi gani kwa kilo endapo utaletewa mwanza
Kwani mahindi yana utofauti, mi nahitaji nafaka tajwa hapa nilipo Mwanza.
 
Nina kilo 3000 au gunia 30 za mahindi mkoani Tabora ungetaja bei ningelinganisha kuona kama inalipa
 
mkuu mimi nina kunde tone 200 kama utakuwa unahitaji napatikana 0687478960 .
 
Angalieni,hamna deal yoyote hapo! Huwezi taka kitu,halafu kwa kilo huku husemi bei. It is nonsense! Utatoka Ruvuma bila kujua bei,utapigwa,na utapotea hata njia ya kurudi kwenu. Watchout!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom