Nahitaji simu aina ya blackberry bold

Nahitaji simu aina ya blackberry bold

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
2,231
Reaction score
5,417
Habari Jf members,
Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina ya blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au Dar kwaajili ya simu tajwa.
INAHITAJIKA MPYA.
images%283%29.jpeg
images%282%29.jpeg
 
Back
Top Bottom