Chumba cha kupanga!

Chumba cha kupanga!

swank

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
748
Reaction score
1,043
Habarini wana jamvi!

Ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kinondoni au Mwananyamala.

Kodi isizidi elfu 50 na nitaweza lipia kwa muda wa miezi 6 tuu!
Kama kipo tafadhali naomba uniPM au nicheki kwenye namba 0656 475 081

NB: Nyumba isiwe na wapangaji wengi saana!
Ahsanteni!
 
Acha mashart mengi kama mganga wa kienyeji.....
Acha maneno, wekamapesa
 
Kuna chumba Huku kwetu Kwamtogole 50,000 kwa mwezi, maji na umeme vinapatikana
 
Back
Top Bottom