Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu Nna huawei Y330 ipo katika hali nzuri naiuza kwa sh 55,000 tu Naiuza cz Nna tatizo nahitaji pesa kwa sasa kusolve Nipo dar
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Napangisha nyumba ipo kiluvya kwa komba dk 2 mpaka barabara kubwa morogoro road, nyumba ina vyumba vitatu kimoja master bedroom na public toilet, sebule,jiko na dyning Bei maelewano tuwasiliane...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama heading inavyojieleza...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari za humu. Kuna eneo la kiwanja linauzwa. Lina ukubwa wa mita 38 kwa mita 20. Eneo lipo lusando, mlamleni.Ikiwa kama unakwenda barabara ya kilwa,ukifika kongowe unaingia kulia. Bei...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf, Nataka nihudumie wenye dharura anayehitaji sh. 50,000 hadi sh 500,000 a pm, mkopo huu utauridisha ndani ya wiki 12 kwa riba ya 6% ila dhamana iwe na thamani ya kitu mara 4 ya mkopo Karibuni
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Rav 4 namb A nzuri sana Full vibal full ac Haina kiduku Gari nzur sana imetunzwa sana Bei ni 8.5m Call 0718017711
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Rav 4 namb A nzuri sana Full vibal full ac Haina kiduku Gari nzur sana imetunzwa sana Bei ni 8.5m Call 0718017711
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu natafuta moja wapo ya gari hizo hapo juu. Iwe imesajiliwa karibuni namba D, ikiwa na 4WD itakuwa poa zaidi. Kama ina tatizo lolote la kurekebisha ni vema unitaarifu kabla sijaja kuikagua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fast deal tufanye biashara mapema 0674929001
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Denso Rotor Head OEM number 096400-1240 for TOYOTA 14B (VE4/12R) and 096400-1250 for TOYOTA 3L (VE/10R) zinauzwa kwa bei ya 250000tsh (Negotiable), popote ulipo nchini unatumiwa. Contacts...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
bei ni million nane na nusu Kwa mawasiliano whatsap 0764426929,0742188846 na 0655726929 Miti IPO mkoan NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe Shamba linauzwa pamoja na ardhi
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Karibuni katika mtandao mpya wa SautiYanguForum ( sautiyanguforum.com ). Huu ni mtandao ambapo watu hupashana habari, kutoa maoni na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali. Ukitaka kujiunga nasi...
0 Reactions
10 Replies
920 Views
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412] KWA HUDUMA ZA (NYARAKA MBALIMBALI) -BUSINESS PLAN(mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Jf members, Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina ya blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Phone...+255755508223...Nyumba ipo Barabarani kabisa ni dakika 10 au 15 kwa gari kutoka Ukonga Mombasa kwenda Bomba mbili kupita Ukonga mazizini... Eneo la kiwanja Robo heka, Nyumba ni kubwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, kuna mzigo wa tani 1300 za mbaazi tunatafuta mnunuzi, mzigo upo gharani hapa Dar es salaam ni mbaazi za Arusha. Zinauzwa kwa 1750 kilo 1. Mawasiliano +255652601602 ( whatsapp )...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Karibu kuna kiwanja kizuri kinauzwa Maeneo ya Airport kinafaa kwa Hotel,Airport hakuna Hotel nzuri ya kisasa,Karibu uwekeze,ukubwa wa Eneo ni SQM 8914 KARIBU SANA BEI MAELEWANO..,....
0 Reactions
21 Replies
2K Views
KOKOTO BORA ZA UJENZI TOKA LUGOBA.. Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Back
Top Bottom