Kampuni iliyokuwa inatengeneza Boss (Nanasi) wapi kinywaji chetu katika chupa mpya?
Sifa za kinywaji hiki:
*hakina harufu ya pombe baada ya kunywa (muhimu hasa unapokuwa na mtu asiyetumia pombe)
*Hakuna hang-over
*Cocktail yake poa sana.
* . . . . . . .
* . . . . . . .
Tafadhali rudisheni bidhaa hiyo sokoni katika chupa ndogo tuendelee kuchangia uchumi wetu.