yusuph hasheem
Member
- Jul 5, 2017
- 57
- 52
Wakuu nina incubator ya china mayai 96..haiwaki iliwaka mwezi mmoja tu na mwezi mwingine ikazima na mayai yakaharibika ..sasa naitaji mtaalamu fundi wa incubator wa songea ..au yeyote anielekeze nin nifanye ..mim nipo songea ..wakuu msaada tafadhali