Salaam wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji Tv flat screen iwe used au mpya ila bei yake isizid laki moja na ishini za kitanzania(Tsh.120,000/=) size yake itategemea ila ni vizur...
Jipatie kitabu cha kujifunza kuongea lugha kichina ndani ya week mbili kwa kutumia lugha ya kiswahili na kiingireza,ni kitabu na CD,bei sh.10,000 tu.piga simu kwa mahitaji au kuwekeza 0757464131...
Kwa wale wapenzi na walaji wa chakula cha kutoka Baharini km Prowns, Kambakochi KingFish na Pweza.
Kwa huduma bora
1: Unaletenewa hadi ulipo
2: Unatengenezewa vizuri
Kwa mikoa yote Tz
Nahitaji lenses ya camera module nikon D3200 black na hiyo lens iwe na uwezo wa kufanya kazi masaa 48 bila kubadilishwa na iwe ina vuta kuanzia mimi 55 -200 yaani meter 70 au 75 had meter 200 iwe...
Wakuu, mimi kama kijana wa kitanzania nimekuja na wazo, yawezekana nikawa sipo sahihi naombeni mnirekebishe
Nataka tujikusanye watu 10 ambapo kila mtu atakua na million 1,kwaiyo jumla tutakua na...
Jamani natafuta external hard disk iwe na ukubwa wa 1 au 2 TB na Iwe bei rahisi tofauti na Dukani na iwe katika ubora wakee....kama unayo sema hapa na bei yake au ni PM
Sent from my SM-N910P...
Habari zenu?
Nyumba ya vyumba viwili,sebule,jiko na choo(public) dinning,inapangishwa Sakina kwa IDD,Arusha.
Nyumba ina geti,fence.Ipo just 90meters kutoka Namanga road,ina umeme na maji.
Bei laki...
Most of Medicated soap is not good for health of your child.
Chemical in medicated soap may cause:
-allergic reaction.
-prevent building of immunity of the body and create resistance to microbes...
Inauzwa binocular...(darumini.)
Iko safi..bei laki mbili.
Iko na powerful lens kias kikubwa sana..
Made in Germany
Picha natumipia hapo chini
..
Kwa ana ehitaji aje inbox ...iko dar es salaam