Elias mwasibu
Member
- Dec 19, 2016
- 83
- 29
Nahitaji lenses ya camera module nikon D3200 black na hiyo lens iwe na uwezo wa kufanya kazi masaa 48 bila kubadilishwa na iwe ina vuta kuanzia mimi 55 -200 yaani meter 70 au 75 had meter 200 iwe mpya au used japo tu isiwe choka. sana.