Webb
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 425
- 884
Wakuu, mimi kama kijana wa kitanzania nimekuja na wazo, yawezekana nikawa sipo sahihi naombeni mnirekebishe
Nataka tujikusanye watu 10 ambapo kila mtu atakua na million 1,kwaiyo jumla tutakua na million 10.
Kwa sasa sina wazo sahihi la nini tufanye, lakini ninachoamini million10 inatosha kufanya kitu, vijana ambao tumejitaidi kupata million 1 hatushindwi kukusanya nguvu zetu na kufanya kitu.
Muongozo
Napenda apa tuwekane sawa, kwa haraka haraka watu 10 kwenye million 10 ni wengi sana kuendana na kipato kitakacho kuwa kinapatikana.
Nini kifanyike?
Iyo million 1 isiwe chanzo cha mapato yako, inabidi iwe akiba ili atakama faida ni kidogo usiyumbe kiuchumi
Wazo la biashara
Wakuu apa nashauri iwe biashara inayolinda mtaji ata Kama faida ni kidogo.
Biashara ambayo ukiamua kuivunja kila mtu anaondoka na haki yake bila kupunjana wa kudhurumiana.
Wakuu nategemea michango yenu ya mawazo katika kufanikisha hili
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app