Jenga leo kwakukopeshwa viwanja vilivyopimwa pamoja na matofali bila hata ya riba wala dhamana utaweza kulipa kidogo kidogo kadri unavyopata pesa ndani ya miezi 4 viwanja vipo kwenye...
Kama invyojieleza apo kuna viwanja naviuza vipo morogoro bigwa na mlali karibu na mzumbe university ukubwa ni heka moja miundombinu kama umeme na barabara vipo ndani ya maeneo mawasiliano...
Wakuu nauza mizani nipo Morogoro ina uwezo wa kupima kilo 10 ni ya kisasa imetumika miezi mitatu tu naiuza kwa 130,000/= Karibuni sana. Kwa mwenye uhutaji anicheck pm
Wakuu natanguliza shukrani,
Natafuta shamba kwa ajili ya kufuga maeneo ya Kibaha mpaka Mlandizi.
Na maeneo ya mvuti na kuendelea.
Aliyenalo au kuna mtu au co. Wanauza naomba Ani PM
Sent...
Mimi ni kijana niliyehitimu Degree ya Electronics & Communication Engineering, najihusisha na kudesign systems mbalimbali za kielectroki, kwa wale wanaotumia underground water yaani kama...
Kichwa chajieleza, wadau mwenye housing hiyo tajwa hapo juu nashida nayo sn, nisimu ya zamani sana ila inaumuhimu sn kwangu ndio maana nahitaji housing hiyo. Nimeshatembea sn kuitafuta bila...
Kama kichwa cha habari kisemavyo, tunakodisha nyumba iliyopo Mbezi Beach Ndafu Rd kwa ajili ya Films/TV Commercials na PHOTO SHOOT OUTS TU.
Watakao hitaji tafadhali tuwasiliane through my Inbox...
Samsung grand prime plus mpya kabisa full box
Ram 1.5 gb
Storage 8gb
Camera 8.mp
Double line
Ina support 4g
With charge & ear4n
Simu iko na kila kitu chake ya full box
Karibuni tufanye biashara...
Ukiwa mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro na unataka kula kitimoto bila kujutia pesa yako, fika tu MINJAS Pub- Majengo Stand, mita 20 tu toka barabara ya Moshi Dsm na ni hapohapo Stand ya hiace ya...
GEODATA CONSULTANTS LTD
Ø We sale and rent higher resolution advanced GPS and other Trimble Products for GIS and Mapping that highly improves productivity for reasonable prices.
Ø We also...
Leo tarehe 22/7/2017 nina shida hii hapa chini:
Natafuta chumba kikubwa kiwe self.
Au chumba na sebule self.
Au chumba na sebule visiwe self lakini wapangaji wasiwe wengi.
Maeneo hayo ya mwenge...
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412] KWA HUDUMA NA (NYARAKA MBALIMBALI)
-BUSINESS PLAN (mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00
-COMPANY...