Petabyte186
Member
- Jul 10, 2017
- 91
- 36
Kama mada inavyoonesha hapo Juu. Ningependa ufafanuzi Kwa nn watanzania tunaosoma Hatufikiwi malengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimemanisha baada ya kumaliza masomo yao ya chuo kikuuKama mada inavyoonesha hapo Juu. Ningependa ufafanuzi Kwa nn watanzania tunaosoma Hatufikiwi malengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya uchunguzi lini ukagundua ni WENGI