Nnayo inch 24" star x mpya kabisa 265,000/Kama unatv ya flat screen ya inch 21 na inaubora wake niuzie.
Niko dar.
Kwa nini unaiuza mkuu....200000 nije kuichukuaNnayo inch 24" star x mpya kabisa 265,000/
Nina duka,nimeshamaliza kwa sasa.Kwa nini unaiuza mkuu....200000 nije kuichukua
Samsung 21" tzs200kKama unatv ya flat screen ya inch 21 na inaubora wake niuzie.
Niko dar.
Anauza ili mnaohitaji kama wewe mnunueKwa nini unaiuza mkuu....200000 nije kuichukua
LG 24 nauza 250,000 kama bado unahitaji nicheki inbox nipo dar
Ndogo bossMkuu kuna 200000 ya fasta ipo yan fast deal km ipo poa nichek huku 0674929001
Aina gani na bei gani mkuuKuna inch 18 pia kama utahitaji
Tuma picha mkuu na upo wapSamsung 21" tzs200k
SingsungAina gani na bei gani mkuu
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Bei gani mkuuSingsung
180000Bei gani mkuu
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Upo wapi, na imetumika muda gani.Nina samsung nch 32 nipe 400,000
Call: 0652902994
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Niko Singida, imetumika miezi 8 tu nicheki kwa namba hiyo juu tuongeeUpo wapi, na imetumika muda gani.
Post sent using JamiiForums mobile app
Iweke picha yake hapa jukwaani Wateja tupo kibao humu. Naitaka pia.Niko Singida, imetumika miezi 8 tu nicheki kwa namba hiyo juu tuongee
Post sent using JamiiForums mobile app