Kiduku starlet
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 272
- 185
Matofali imara ya 6" yanahitajika maeneo ya kigamboni . Yanahitajika matofali 3000. Bei ya kila tofari iwe 1000.
Wewe bei unayoijua inaanza ngapi?
Nahitaji ya nchi 6" .Kama unayo utanifanyia kwa kiasi gani?ukitaka ya nchi5'' kwa hiyo bei Nione
ya 6'' hatufanyi......Nahitaji ya nchi 6" .Kama unayo utanifanyia kwa kiasi gani?