Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,320
- 15,328
Habari waungwana, baada ya maisha kuhitaji akili kuliko wakati mwingine wowote nimefikiria labda mashine ya kusaga ya diesel inaweza kuwa mbadala wa kuongeza kipato maaana hali si hali.
Mungu akijalia nikivuna safari hii nataka nivute chombo hicho.
Kwa wazoefu wa hivi vyombo vya moto ni bei gani kwa dar es salaam?(complete kuanzia injine hadi kinu) na aina ipi ni nzuri?
Kazi njema.
Mungu akijalia nikivuna safari hii nataka nivute chombo hicho.
Kwa wazoefu wa hivi vyombo vya moto ni bei gani kwa dar es salaam?(complete kuanzia injine hadi kinu) na aina ipi ni nzuri?
Kazi njema.