Ving'amuzi cha Startimes vimeshuka bei ni sh 22,000 tu na dishi 44,000

MI NANICHO LKN NI VILE VYA KWAAAANZA KABISA NASIKIA WAN TOLEO JIPYA JE UTARATIBU UKOJE UKITAKA KU-UPDATE..?mwenye kufahamu anijuze tafadhali.
 
hko 44 n dekoda peke ake bila dish ukitaka na dish lake jumla n 86 elfu asee si ivo kqma alivo post jamaa hapo juu fanya utafit hata mm mwanzo nilijua n ivo kumbe c ivo na cha antena n bila antena n dekoda peke ake ndo 22elfu ukitaka na antena ake n 9000
 
lakin faida yake hcho cha elfu 22 inaongezeka elfu 9 tu ya antenna bado ni rahisi
 
Labda wangetuambia wameongea na Bhakressa wakalipia chanell yake tukaona na bunge live ningeshawishika.Kinyume cha hivyo wabaki na scratch zao.
 
tofaut ya antenna na dishi ni.kwamba dishi lina channel nyng na pia dishi linastahimili kushka popote tanzania na ni la uhakika
 
Hii Ni biashara mnatangaza hapa je JAMII MEDIA inaingiza bei gani ???
 
kwa hai kilima.jaro kwa anayejua duka wanalouza hivyo ving'amuzi vya bei chee watujuze plssss
 
Customer care ya startime ni shida. Cha kwangu kimepoteza Chanel mpaka sasa nimeshindwa jinsi ya kupata huduma. Mwenye uzoefu ni wapi wanapatikana. Maana kwa sasa siko Dar
 
Tangu jana asubuh nakamata TBCCM tu. au ndo walitaka wote wenye vingamuz hv tumwangalie muvyetenamu?
 
Back
Top Bottom