Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wahenga wenzangu naomba msaada basi gani zuri kutoka mbeya kwenda dar kwa mama mwenye mtoto. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KWANZA FOOD PRODUCTS ENTERPRISEs(KFEs) inakuletea KWANZA DAGAA PRODUCTS tunasambaza na kukufikia popote ulipo kukuletea Dagaa safi na walio bora kwa afya yako kutoka Ziwa Victoria - Mwanza, Dagaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepewa taarifa na rafiki yangu,kuna ardhi(mbuga)kila ekari ni shillingi Elfu 5,yes tanzania shilings 5,000/- Ipo karibu na Galapo,manyara muelekeo wa mkoa wa Dodoma. nimeambiwa inafaa kwa kilimo...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Chumba self na sebule na jiko pia kuna choo cha nje kwaajili ya wageni.Kimara baruti nyumba zinazotazama morogoro road.150,000/=kwa mwezi,kodi ya miezi 6. 0758373037
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kunamtaalamu wa IT nilikuwa naomba msaada juu ya hili kunamtu nataka kumtrack kwa kutumia namba yake ya simu kama uwezekano huo upo basi aje hapa tuyajenge tukifanikisha pesa ipo Sent...
0 Reactions
3 Replies
844 Views
We are Proficient Chemical Laboratory Technicians based in Dubai and Turkey incorporated in the manufacture of industrial and pharmaceutical products with key specialization in the production of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua namna ya kupata Mashamba ya kukodisha maeneo ya Kilindi Tanga. Msimu wa kuandaa Shamba ni kuanzia mwezi wa ngapi. Asanteni Sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Processor Intel Core i5 @1.4ghz **(Reccorect not 1.7ghz) Memory 4gb ram Storage 121Gb SSD Intel hd graphics 5000 (1.536Gb) 13inc screen Year earlier 2014 New battery (7hours typical usage) Price...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini ndugu, Msaada nahitaji travel insurance to europe ambayo ni cheap... Pm please
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Angalia lugha ya jirani inapotoshana na mambo yake.
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Habari wana jf. Natafuta gari ndogo mf ist kama kuna mtu anauza nijuze please isizid 6 mil
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Umaarufu wa Mange unazidi kuongezeka kwa kasi ya hapa kazi tu. Kwa wastani anapata followers wasiopungua 200k kwa mwezi. Sasa kaja na application yake ya kutumia kwenye simu...
1 Reactions
100 Replies
14K Views
Inauzwa, bei maelewano. Dar es Salaam na Mjini Kibaha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Car service parts at whole sale price available,Filters,plugs,brake pads,Oil etc. Wasiliana nasisi kwa wale wanaitaji big quantity kwa jumla.0 757464131 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
724 Views
Jina la Kampuni: CECY CATERING CAKE&HALL DECORATION. Tunatengeneza cakes za harusi,send-off na birthday, pia tuna pika vyakula katika sherehe mbalimbali na Kupamba...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nyumba na kiwanja chake kinauzwa Ikwiriri Rufiji Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 30/30 na nyumba yenye chumba kimoja na choo na sebure ni kubwa sana sebure futi 15/20 na nyumba nzima urefu futi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu, Husika na habari hapo juu.. Mwenye pikipiki used ya aina yeyote anayoiuza ani-pm Iwe imetumika kwa kpndi kisichozidi mwaka mmja Iwe na vibali vyoote Atleast iwe bado in a good...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Kama una gari tajwa hapo juu nitafute tufanye biashara Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Alteza namb c 4cylinder Full vibal full ac Haijawai kupata ajali Bei 7m Call 0718017711 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom