Karibu Mwasenda college of health science

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Chuo kipo Mwanza jijini .... tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Pia tembelea website ya chuo.
www.mwasenda.com

WELCOME MWASENDA.png


Kwa sasa tumesitisha mafunzo ya Lab tech, tunafundisha ujasiriamali chini ya shirika la Mwasenda Development Intervention (NGO)
 
Naitwa joseph john kiure nimemaliza kidato cha nne mwaka 2016 nina alama D" physics, D" chemistry, C" kiswahili, D" mathematics, C" english, nilikuwa naomba kujiunga na chuo chenu kwenye sekta ya medical laboratory niko kilimanjaro moshi number zangu ni 075202
 
Back
Top Bottom