Line za M-pesa na tigo pesa zinapatikana

Line za M-pesa na tigo pesa zinapatikana

weka data hadharani, tukiwa tunafika tunavuta waya fasta tu
 
Bei ni 300,000 tigo na 200,000 voda, Line zote ni mpya kabisa wakuu. sorry for late reply.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitakua na jina la atakae nunua,yaani unaweza kubadili umiliki,maana kuna ambayo nilinunuaga Mimi ikawa na jina la mtu kwa Bahati mbaya nikaipoteza ikiwa na kiasi kikubwa cha hela nilipoenda Voda kuirenew wakasema hawawezi kuirenew kwa kua mi si mmiliki wa line,kwenda kwa alieniuzia nae si mmiliki,ananizungusha tu mpaka Leo,sijapata line wala fedha zilizopo ndani
 
voda wasumbufu sana,tigo ni rahisi sana kubadili jina kupitia wakala wako mkuu,ila ukikomaa pesa yako wanakurudishia,kama una details muhim kama kitabu cha miamala kilichokuwa kina sainiwa na wateja au tafuta mtu wa voda umpoze akutolee laini yako
 
Mkuu kama unamtu plse naomba unilink nae,ntampooza
 
hizi line huwa zinatolewaa bure ukifika office hasa za voda ila fika na TIN na leseni ya biashara... na kwa wauzaji hapo hapo ofisini wana uza kuanzia 100000/- mpaka 150000/-

ni bora kufika ofisini na ukauliza maswali mengi zaidi ya kujilidhisha au kukutana na mtu barabarani, uchaguzi ni wetu...

Cheers
 
ila mpaka elfu 50 una pata ni maelewano hapo offisini kama hautakuwa na hivyo vitu hapo juu... na ndio maana pia sikuizi wana tozwa faini kwa kusajili hizi line bila kufata utaratibu

na vile vile huwa wafanyakazi wana hodhi hizi line ili wao wapige pesa ili ukienda ofisini wakuambie zimeisha zitakuja wiki au mwezi ujao, kama una pesa kuna mtu huwa anazo nimwambie alete...

ndio style za wapigaji...

NB:
Line ni bure ukiwa na vitu husika, fika ofisi zilizo karibu nawe au wasiliana na huduma kwa wateja
 
Nilijaribu fatilia ila mrorongo ni mrefu mno
 
Nilijaribu fatilia ila mrorongo ni mrefu mno
wewe ulivyo fatilia walikuambiaje?

weka huo mlolongo ili wakusaidie nini cha kufanya... pia iwe faida kwa wengine
 
Back
Top Bottom