Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji korosho zilizobanguliwa nahitaji kupack tu nakumfikishia mlaji. Wapi nitapata kwa kuanzia kilo 3 na ni kiasi gani kwa kilo moja Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salam, Nauza gari, ni SPACIO OLD MODEL CC 1580.Engine ni 4A, inatumia Petrol T415 BHH Gari ipo katika hali nzuri kabisa, bei ni MILIONI TANO TU.(Mazungumzo yapo) Kwa mawasiliano 0768208713...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Simu baado mpya kabsa nimeitumia kwa mwezi mmoja tu ina 4G nahtaji pesa ya haraka bei sawa na bure 0625489948 Sh 250k
1 Reactions
4 Replies
858 Views
Used in a very good condition as new Storage - 32GB Haina tatizo lolote Price - 450k. Contact: 0684910695 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu. Mimi naomba kuuliza kuhusu wapi naweza kupata software nzuri ambayo naweza kuitumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunahitaji nyumba ya ghorofa ya kununua maeneo ya mikocheni na kawe beach! Nyumba iwe mpya na plot size isipungue 1000sqm Isiwe na migogoro na pia isiwe bei zetu zile za Jakaya! Wasiliana nami...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
wakuu nahitaji kiwanja maeneo yoyote ili mradi iwe kinyerezi....budget yangu ni Tshs 4 Million. ni-PM tafadhali tuwasiliane zaidi
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Kama unahitaji maelewano yapo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Color Gold, CC 1290, AB ABS Total cost Tsh 8.2Mil pamoja na ushuru Agiza nami kwa: call/whatsapp: +255715471659 e:hamoudautocom@gmail.com ...Wakati wote ni wakati wa kazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Color silver, CC 1490, AB ABS AW FOG Total Cost Tsh 10.8Mil pamoja na ushuru Agiza nami kwa: call/whatsapp: +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com ...wakati wote ni wakati wa kazi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazima, samahani nauza smartphone ni tecno w3 kwa laki moja. Imetumiwa kwa muda Wa mwezi mmoja tu. Kama unaihitaji Nicheck 0625623692 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Pata Bra set 20,000/= punguzo lipo kutokana na idadi utakayochukua. Dar unaletewa ulipo Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa WhatsApp/Call/Text 0629226770
3 Reactions
36 Replies
9K Views
Ifanye nyumba yako iwe na mwonekano nadhifu kwa kuwasiliana nasi 1. Tunatengeneza sofa aina zote, za chuma na za mbao zenye ubora wa hali ya juu kwa bei poa sana 2. Tunatengeneza vitanda aina...
2 Reactions
46 Replies
26K Views
Color Pearl, CC 2490, AB ABS AW HID NV TV P-SEAT Total Cost Tsh 13.5Mil Pamoja na ushuru Agiza nami kwa: call/whatsapp: +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
· 787 Dreamliner features Etihad Airways’ industry-leading, award-winning cabins · Popular route approaching millionth passenger milestone Etihad Airways has introduced the Boeing...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
natafuta monitor yenye tundu la AV
0 Reactions
6 Replies
872 Views
Wanabodi habari njema ni kwamba kiwanja kilichopo Kibaha kwa Mathias kando kando ya barabara iendayo Nyumbu jeshini eneo linaloitwa Jamaika chenye ukubwa wa takribani ekari moja kinauzwa. Kiwanja...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasalaam wana bodi! Nina hitaji henga za nguo, kama unazo naomba uniPM au unitafute kwa namba 0656 475 081! Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Wakuu habari za Leo,napenda kutoa maelezo machache kuwa Nina vuna MAHINDI yangu Morogoro ekari tano..natafuta soko kwa anaefahamu debe la mahindi kwa sasa nikiasi gani? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inauzwa bei maelewano
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…