Wapi nitapata tofali za kuchoma bora na imara?

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
Ndugu wanabodi,

Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya.

Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ.

Nawasilisha
 
Kasulu utapata hizo tofali za kiwango cha juu sana, ila siyo kutoka kwa kampuni, ni watu binafsi.
 
Ndugu wanabodi,

Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya.

Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ.

Nawasilisha
Tofali za kuchoma nzuri zipo Mbeya wilaya ya Mbozi; Aisee ni nzuri kimwonekano na ni imara sana!!! Tofali za mbozi ni kiboko aisee Escobar
 
Back
Top Bottom