Samsung j7 inauzwa

Samsung j7 inauzwa

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
In good condition,


Ni 480,000, kama upo serious kwa wakaz wa dar, nicheki kwa pm
 
In good condition,


Ni 480,000, kama upo serious kwa wakaz wa dar, nicheki kwa pm
Jazia nyama tangazo lako lijitosheleze... picha kwa kila angle (kama ina kava litoe mtu athaminishe hali halisi ya simu), elezea kama mtu anapata na accesories nyingine kama charger na earphone.
Hapo utafanya tangazo lako hata kama sina shida ya simu basi tamwambia mtu kwa kuwa nimeiona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom