Napatikana hapa Nyegezi Stand Mwanza, nimefungua office yangu mpya ya MYHAMALA PESA, inajihusisha na Tigo, Voda na Airtel...
NATAKA KUPATA kuapata MASHINE YA MAX MALIPO ili kuboresha na kukidhi...
Hii nyumba ipo kimara temboni na apartment zingine zimeshapangishwa ni Vyumba Viwili kimoja master na imesimama dirisha za vioo ni mita350 toka barabarani maji ni uhakika njoo inbox kwa...
Nauza spika za music kwa sherehe za ukumbini au nje ya ukumbi hizi spika zinafaa kwa wanaopiga music wa sherehe, kwani ziko nne mid range mbili kila moja ikiwa na spika za Candy mbili na base...
Habari wakuu
Ninauza kiwanja kiko maeneo ya kisasa dodoma mjini.kimepimwa na kina hati na kina pagale ndani yake.kiko block E na plot no.25!!!
Kiko umbali wa kama mita 130/170 toka barabara kuu ya...
Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa...
Wadau nina kahela kidogo nataka nikazungushe kwenye m pesa labda nami nitainuka kiuchumi.kama una laini ya m pesa nami niwe wakala wa m pesa njoo kwa 0752640448.niko Arusha
Sent using Jamii...
Habari ya wakati huu wakuu,
Naomba kwa anayefahamu garama ya kutoa gari badari ya Dar es Salaam anisaidie, kama TRA, clearing and forwarding nk. Je dumping fee inatozwa kwa gari za kuanzia mwaka...
Slightly used
Color - White
Plug and play (no need for drivers CD)
Power cable and connection cable (included)
Compatible with 85A cartridge
Price - 180,000/=
Contact: 0756 879534
Availability - DSM
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi wa laptop aliyeko Arusha. Laptop yangu inaunguruma sana ninapoiwasha pia baadhi ya button hazifanyi kazi. Kwa yeyote mwenye utaalamu naomba...
Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza
Wakulima wa karanga Tanzania, kijana wenu Diamond katangaza neema hiyo ya kununua karanga.
Mahitaji yao ni tani 100 kila mwezi na sifa za karanga zipo...
Gari rav4 inauzwa, kwa anayehitaji tuwasiliane kwa taarifa zaidi, muuzaji anapatikana kwa 0784287546. (Only for serious buyer)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila punje moja katika pakiti ya diamond karanga unainunua kati ya Tsh. 15 - 18, kabla ya kutoa gharama za uzalishaji. Zinatakiwa kuwa 20, sema ndio hivyo unaweza kukuta hadi 16 katika pakiti...
Viwaja vinauzwa kibamba,mbezi,chanika kibaha,mbagara,tabata,bunju, bei kuanzia laki nane hatua 25 kwa 25 mawasiliano 0717342414/0764816096/0788492588
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu yupo South Africa nahitaji anitumie mzigo, naombeni mnisaidie njia rahisi anayoweza kutumia nikaupata mzigo kirahisi pia!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.