Eng.Dullah
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 372
- 304
Jamani kama nilivyotangulia kusema hapo juu mm si mwenyeji sana mwanza ivyo nahitaji kama kuna mtu ajua kuna nyumba sehemu kuanzia GHANA HADI AIRPORT karibu na barabara tafadhari tusaidiane nahitaji kwa mda wa mwaka1 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app