JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 654
Hii nyumba ipo kimara temboni na apartment zingine zimeshapangishwa ni Vyumba Viwili kimoja master na imesimama dirisha za vioo ni mita350 toka barabarani maji ni uhakika njoo inbox kwa mawasiliano namba bei ni laki 3 na nusu kwa mwezi miezi 6 ruksa
Argue don't shout
Argue don't shout