Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%) 8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4) Jumla kuanzia pea 10 8*8 @65000 Gharama ya usafiri juu ya mteja,na waliopo mikoani...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba anayemfahamu fundi wa kufunga dish la TV ambaye yuko korogwe mjini anisaidie anipigie au sms au anibip 0766112752.
0 Reactions
0 Replies
958 Views
kutokana ongezeko la matumizi ya internet leo ni rahisi sana kupata ratiba ya mambo mbali mbali kwenye mitandao hivyo nimekuletea ratiba za usafiri wa mabasi ambayo ni NDENJELA JET, HAPPY...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari wadau wa kusaka mafanikio ya halali kwa nguvu zote. kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, tafadhari ambao wako katika maeneo ambayo yana fursa za kufanya biashara inayohusiana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Color Black, CC 1990 AB ABS AW RS FOG HID BT 180s km Total cost + Ushuru Tsh 17.9Mil Agiza nami: Call/whatsapp +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com ..wakati wote ni wakati wa kazi..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Color Purple, CC 1290 AB ABS TV RS FOG NV 130s km Total cost + Ushuru Tsh 13Mil Agiza nami: call/whatsapp +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com ..wakati wote ni wakati wa kazi..
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hi. My laptop is fujitsu amilo notebook Li 3710 Battery model name: 3UR18650-2-T0182. 10.8V---4400mAh, 48Wh. How much it cost in tanzania shillings? How long it takes to get a single piece in...
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Habar wana jamii nauza(150000/) samsung galaxy s3 haina matatizo yyt nilikuwa na shida tu ya simu line mbili ndio nimepata samsung j2. 07171 064646 napatikana dar-es-salaam Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta gari Toyota Raum kuanzia mwaka 2014 au IST bajeti yangu ni 7mil. Aliye nayo anitafute 0715520052. Unaweza nitumie picha kwa WhatsApp nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Nyumba iko Chang'ombe(hamvu) Dodoma mjini 2.Ina hati na imepimwa(square metre 355) 3.Iko block A,plot namba 31 4.Ina maji na umeme 5.Gari inafika mpaka nyumbani kabisa(barabara ni kubwa na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Aina Toshiba Processor 2.20 GHz Ram 2 GB Ina camera ya mbele Model no PSK2LU-015001 Bei Tsh 280,000/= Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
902 Views
Natafuta lotion nzuri ya kiume,Nina chunusi usoni,ngozi yangu ina mafuta.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
TOYOTA RAUM 2003 TSH 10,200,000/= 59956km ======================================== Kwa kiasi cha shillingi 10,200,000/= tu Agiza gari toyota raum inayofaa kwa Matumizi binafsi na ya familia. Anza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Quality Business Solutions Company Limited. P o Box 70401 Dar es salaam Tunauza quickbooks na Tally software piaa tunatoaa training kwa bei rahisi sa...Contact us 0714777211 or 0766866717...
1 Reactions
0 Replies
859 Views
Habari wakuu Natafuta one bedroom apartment in short term lease/rent One Month only maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege , Kilimani ama Kwa Mchina Mwisho. Nategemea kuwepo Zenj...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Habari wapendwa naitaji mayai ya kuku wa kisasa kwa wiki naitaji trei 100 za mayai kwa mwezi naitaji trei 400 napatikana dar-es-salaam posta mpya mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano 0676918508
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Tangazo, Leo tarehe 30/08/2017 saa 1 mpaka saa 4 asubuhi, na kesho tarehe 31/08/2017 saa 1 mpaka saa 4 asubuhi kutakua na wataalamu pale DUCE karibu na uwanja wa taifa. Wataalamu hao watatoa...
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Color Black, CC 1690 AB ABSHID NV 90s km Total cost + Ushuru 29.9Mil Agiza nami: call/whatsapp +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mayai ya kisasa..kila siku mwenye uwezo wa kuniuzia kati ya trey 50 hadi 200 anitafute tufanye busness ya kudumu.Napatikana mbezi-Dar es salaam 0716666954
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Hellow wadau, Kwa wale wanaohitaji asali mbichi za nyuki wakubwa inapagikana na kwa nyuki wadogo inapatikana kwa order. Kwa sasa niko Dar inaye hitaji anitafute kwa no. 0765131418, au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…