CHANJO YA AJIRA

CHANJO YA AJIRA

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
260
Tangazo,

Leo tarehe 30/08/2017 saa 1 mpaka saa 4 asubuhi, na kesho tarehe 31/08/2017 saa 1 mpaka saa 4 asubuhi kutakua na wataalamu pale DUCE karibu na uwanja wa taifa.

Wataalamu hao watatoa CHANJO kwa watu wenye tatizo la ajira na wanaohitaji kuajiriwa,

Hivyo basi kama una maradhi hayo hakikisha unafika DUCE katika tarehe hizo,

Kwani mpaka sasa wameshawasili watu zaidi ya 10,000 kupata CHANJO hiyo,

Hivyo fika bila kukosa pia mjulishe na mwenzio mwenye maradhi hayo,

Ahsante
 
Isijekua tu na watoa chanjo wanataka chanjo..mean kuna kiingilio manake watu wanatumia matatizo ya wenzio kupata pesa
 
Back
Top Bottom