Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari! Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kupanua wigo wa kazi zetu. Licha ya kutoa huduma ya ujenzi lkn pia tumeanza na kutoa huduma ya Ufundi umeme fumigation. Property management. Furniture...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Government Accounting ni moja kati ya topic ambayo inasumbua sana mashuleni kwa wote walimu na wanafunzi, Topic hii iko kwenye kitabu cha book two kinachotarajia kutoka hivi punde. Jipatie...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
kwa wale wapenzi wa mbege waliopo dsm nasambaza hadi nyumbani.utalipia nauli. oda inaanzia lita tatu imepikwa kwa usafi wa hali ya juu. karibuni
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwenye lori uwezo wa tani 30 hadi 40 anicheki pm kuna kazi mahari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja nipo karibu na kituo cha pugu kajiungeni njia panda ya kwenda chanika kwa mawasiliano zaidi piga # 0768572910 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunawakaribisha watu wenye gari ndogo kufanya kazi na UBER itakuingizia pesa bila kutumia nguvu nyingi kupata wateja .Na pia yeyote mwenye smart phone anaweza Kuwa na application ya UBER na kuweza...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums, Katika maisha mafanikio yanaanza na Mtu kupata taarifa sahihi kwa wakati sahihi sehemu sahihi na kutenda kwa wakati sahihi. Nikiwa kama mjasiramali nashare nanyi fursa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari Wadau. Ujanja nyumba, ujanja ardhi ujanja vitegauchumi. Nawaarifu uwepo wa Viwanja vinavyouzwa eneo la MABWEPANDE-MWISHO. Ni kilomita 6 tu kutoka BUNJU-B, Kwa Noah ni mwendo wa wastani wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje nimeamua kuuza mafuta ya...
5 Reactions
147 Replies
22K Views
Naweka bondi simu yangu lenovo A6000 nipo Dar naitaji Mkopo Wa laki 2.5 haina shida yoyote nauza coz matatizo Original toleo la kwanza alietayari ani pm Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za mchana na jioni waungwana. Naomba kama kuna mtu ambae ni fundi mtengenezaji wa mashine za kutotoleshea vifaranga (incubetor) tuwasiliane DM. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza pikipiki boxer 100 haina tatizo lolote Ina vibali vyote Document zote zipo Haili mafuta Haihitaji marekebisho ni kutoa hela, kuwasha na kuondoka Bei laki saba tu (700,000) ukiwahi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu jamani, Nimelima tangawizi mkoani Moshi wilaya ya Same na zipo yayari kwa kuvuna.Nilikua natafuta soko zuri la tangawizi, kwa anaye faham please naomba msaada. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
HABARI WAKUU, Nimefurahi sana baada ya kupata taarifa kuwepo kwa apps za mikopo rahisi huko playstore, we ni kupakua app yako na kujaza fomu kisha unapakua kiasi kulingana vigezo vyako.. Mimi ni...
1 Reactions
16 Replies
17K Views
Salam! Laptop nzuri sana inauzwa kwa bei ya nzuri kutokana na ubora wake! Laptop hii ina sifa hizi hapa. Aina: Hp elitebook 8540w Operating system: window 8.1 Pro 64-bit (6.3, Build 9600)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi, charger yangu ya laptop mac pro imekatika kama kuna mtu anayeweza kurepair naomba tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa anehitaji dagaa wa Mwanza wale wabichi wamekaangwa tuwasiliane. Unaweza wapasha ukala au unaweza kuwaunga either way! Hawana mchanga na sio wachungu. Pakiti-1500 (wamewekewa viungo)...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Make : TOYOTA Model : Belta (SCP92) Mileage : 91,416km Engine size: 1,290cc (2SZ) Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : - M/Year ...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye bentonite anijuze nahitaji Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
759 Views
kwa anehitaji dagaa wa Mwanza wale wabichi wamekaangwa tuwasiliane. Unaweza wapasha ukala au unaweza kuwaunga either way! Hawana mchanga na sio wachungu. Pakiti-1500 (wamewekewa viungo)...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…