DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
HABARI WAKUU,
Nimefurahi sana baada ya kupata taarifa kuwepo kwa apps za mikopo rahisi huko playstore, we ni kupakua app yako na kujaza fomu kisha unapakua kiasi kulingana vigezo vyako..
Mimi ni mnufaika wa mkopo huo baada ya kupata taarifa kutoka kwa jamaa yangu.
Moja kati ya app iliyoninufaisha ni TALA ambayo haina mbwembwe nyingi
MSAADA KAMA KUNA MWENYE KUJUA APPS NYINGINE ZA MIKOPO