Tunawakaribisha watu wenye gari ndogo kufanya kazi na UBER itakuingizia pesa bila kutumia nguvu nyingi kupata wateja .Na pia yeyote mwenye smart phone anaweza Kuwa na application ya UBER na kuweza kupata usafiri Kwa njia ya haraka zaidi na gharama nafuu.
Wapo kuna wengine wanaitwa Fasta Fast. ila operation ya hizi mambo imekuwa ngumu ku penetrate kwenye soko la tz. Maana hata Uber wenyewe hawajafanikiwa kwenye hii industry kwa tz kabisaSmart business idea! Hivi Bongo hakuna mjanja yeyote ambaye ameianzisha hii kitu?
Kivipi mkuu unavyosema hawajafanikiwa? Watu wengi sana wanatumia Uber,Gharama ya Uber kutoka Victoria hadi Masaki ni elfu 3 wakati Bajaji atakwambia buku 10.Wapo kuna wengine wanaitwa Fasta Fast. ila operation ya hizi mambo imekuwa ngumu ku penetrate kwenye soko la tz. Maana hata Uber wenyewe hawajafanikiwa kwenye hii industry kwa tz kabisa
Gari Liwe la aina gani? Hata zee ni Sawa tuu? Masharti kiyoyozi lazima na mengineyo vipi[/QUOTE Kwa ujumla gari lazma liwe na kiyoyozi na pia dereva mwenye reseni hai. Kwa yeyote mwenye gari anaweza nitafuta Kwa 0682059217.na anaye taka ofa ya kusafiri just ni kupata application ya UBER TECHNOLOGY na kuingiza promotion code DSMBA23.hapo utapata ofa yako ya sh 6500 . nakusafiri bure Kabisa Kwa umbali wa hiyo gharama . Kuingiza promotion code DSMBA23 . Nibaada ya Kuwa na application then upande wa kushoto Kwa juu kuna alama ndipo ubonyeze hapo ,utaona taarifa kazaa bonyeza promotion then add hapo utakuwa umejiunga na huduma yetu na kupata ofa.
Mnalipaje gari ya mtu ikitumika kwenye shughuri za uber!?Karibuni katika njia rahisi ya usafiri na ni ya gharama nafuu Kabisa na yenye usarama ,ndani ya jiji la dar es salaam.kujiunga pata application yako ya UBER TECHNOLOGY ,na uingize promotion code DSMBA23.hapo utakuwa umesha jiunga na huduma yetu ya UBER TECHNOLOGY services. Na kuweza kusafiri bure Kwa umbali wenye gharama ya 6500.na kama unagari ndogo nzuri unaweza jiunga nasi ndani ya uber service.kwa maelekezo zaidi unaweza ni tafuta Kwa 0682059217.karibuni nyote.
Mnalipaje gari ya mtu ikitumika kwenye shughuri za uber!?
Nani anapanga bei ambayo mteja atalipa? Uber au mwenye gari?Wewe utaunganishwa na wateja au abiria Kwa kutumia application ya UBER TECHNOLOGY.na utarejesha asilimia 25 ya ulicho kipata kupitia wateja wa uber ,na Kwa wateja wanaotumia Kadi utarejeshewa pesa mwisho wa mwezi na UBER itachukua only 25 %.na kuna ofa na bonus zakutosha Karibu Sana mkuu
Nani anapanga bei ambayo mteja atalipa? Uber au mwenye gari?
Ok. Let say mteja anatolewa masaki anaperekwa airport. Mteja atalipa bei gani?Bei inapangwa na uber na ipo kwenye system , mteja anapo ita gari tayari anajua gharama yake ambayo itajitokeza. Mara baada ya kuandika anako enda. So wewe utachukua pesa taslimu kutoka Kwa mteja ,na kama anatumia cade hiyo pesa utarecord na utaingiziwa mwisho wa mwezi.
Vipi fikeni Arusha basi sio dsm pekee
Oky Mr pole na Samahani kama ulikutana na usumbufu wa aina hyo Ila unaweza kutoa taarifa mda wowote kama umepata huduma isiyo kufurahisha. Pole na karibu Sana nduguyangu ni mapungufu ya kiubinadamu .Mkuu tatizo lenu kujiunga Kama driver Kuna masharti mengi Sana...
Hata hivyo mna customer care wanaongea kwa nyodo Kama vile wanaongoza ndege....
namba zenu Mara nyingi hazipatikani...
Yaani typical Failed Tanzania businessmen behaviour
Nilivokuwa Dar nilifurahia hii huduma lakini hku mikoani hakuna hiki kitu kwann wasifike hku