Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanunuzi serious wanipigie bei ya kutupa bus Kama lilivyo kwenye picha limeshalipiwa ushuru na kila kitu. Simu: 0625249605
0 Reactions
17 Replies
6K Views
kama nilivotangulia ninahitaji line ya Tigo pesa haraka sana nipo Dodoma mjini, mwenye nayo tuwasiliane inbox
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Habari za kazi wapenzi. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo, natafuta gari la kuanzia maisha. Budget yangu ni 5M. Ila kama gari iko vizuri sana naweza nikajipiga piga zaidi nifike bei...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Toplayer pre and primary School Boading na day Download tangazo hapo chini kusoma zaidi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Specifications: Aina ya laptop ni mg 101 a3 , Ram 2 gb, Cpu 1.67 ghz, Rard disk 320 gb, Bei yake 280,000/= taslim Inatunza charge kwa masaa 6+, hard disk za 320 gb pia zinapatikana kwa 90,000...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kesho nitakuwa mjini niki fanya deliver Kuanzia SAA 5asbh Kuweka oder yako wahi oficine tabata asbh Au weka oder kupitia 0713691101 24/7 280,000 tshs Set ni 3*2*1*1 Freely door to door Karibuni
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Ndio auza projector bei ni 500'000/= ipo kwenye hali mzuri tu
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Altezza inauzwa, inapatikana Posta, Dar es salaam. Bei ni Tsh 7,800,000/=, haina tatizo lolote Kama unahitaji piga simu namba 0677300102
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa bei nafuu kuanzia elfu 10/20 Izo za chini ni kuanzia elfu 25 .kwa sherehe hata kutokea za cku mchana ata kushindia ni mnunuzi tuu karibuni sanaa.
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Kwa bei nafuu tuuu . Hapo kuna za kumi na tano mpk ishirini zipo hapo jmn karibuni sana nipo dar,
0 Reactions
0 Replies
854 Views
kwa mwenye uhitaji wa tairi za gari tuwasliane,tuko mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri. call me through 0685561688
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wana JF, Business as usual.. Nauza Vitabu kama ifuatavyo. Economics Econometria - Gujarati - Basic Econometrics Economics - Principles and Applications (2nd Edition) Entertainment Industry...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Wakuu habarini zenu, Niko kwenye mchakato wa kuuza htc one yangu, haina tatizo lolote, inakaa na chaji vizuri tu internal storage 32gb, android version 5.1 (but you can upgrade), camera iko poa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa jf natafuta soko la kuuzia ukwaju. Kwa anayefahamu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wanaJF... Nahitaji simu janja (Smartphone) iwe mpya, refurbished au imetumika na ipo katika hali nzuri, aina ya simu ninayo hitaji ni kati ya hizi zifuatazo Sony Xperia Z3+ Z5...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Ni maduka ya kimataifa. Hata Tanzania yanaweza kuanzishwa. Ni maduka yasiyofungwa iwe mchana iwe usiku, iwe jumapili iwe sikukuu. Yako wazi 24/7 Yanaitwa Seven Eleven kwa sababu mwanzoni maduka...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
jinsi ya kufanya unanunua nailoni gumu yapo kariakoo unaliweka kwa kulichimbia au kulitafutia uzio kama mawe au matofali pembeni kisha unajaza matope au maji kisha unaweka kambale wako amabao...
3 Reactions
121 Replies
30K Views
Habari zenu wanajamvi...!!!Ninauza maharage ya njano mapya ya kutoka karagwe kwa jumla kwa sh 1600 tu kwa kilo moja. Napatikana jijini mwanza na kwa wateja wote waliopo mwanza mjini na kwenye...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Laptop Repear ANY BRAND! ANY PRONLEM! -TUNAREKEBISHA LAPTOP AINA ZOTE NA KWA MATATIZO YOYOTE -TUNAPIGA WINDOW AINA ZOTE (WINDOW VISTA/7/8/8.1/10) -TUNAWEKA GAME ZOTE -TUNAWEKA PROGRAM ZOTE ZA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari . Ninatafuta gari aina ya toyota vitza ama toyota duet bajeti yangu ni milioni 4,maongezi yapo kama gari ikinivutia. Kwa mwenye gari nipm ama weka contact ntakupigia
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…