Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

He, una Kisima? Unatumia generator? Wasiliana nami 0767276443 ujipatie solar water pump system kwa bei nafuu.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mawasiliano ni 0714 77 55 66 0683 77 55 66 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Coaster Mileage : 317,503km Engine size: 4,160cc Gasoline : Diesel Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 2000 Doors : 2 Seats : 29...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kufungua kiwanda kidogo (home factory) cha kuzalisha Mikoba ya kina mama handbags za kisasa sawa na zile zinazotoka China. Tena zangu zina ubora zaidi. Mimi ni designer wa hizo bidhaa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
gb16,silver...bei 280,000/-..nipo dar nicheki 0657124173
0 Reactions
1 Replies
928 Views
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) kwa ajili ya kuwapa ujuzi wanafunzi utaalamu wa jinsi ya kukagua mifumo ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nissan Navara 2.5 Di Manufacture year-1998 Engine capacity-2779cc Mileage-176500km Transmission-Manual Fuel-Diesel Price-24 millions Contact;0787395557
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Kuna vyumba vinapangishwa Dodoma mjini, self contained, woodern syling board, no tiles but nice floor, water available in doors 24hrs, electricity (10,000/= kwa mwezi), bei 80,000/= kwa mwezi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Lipo maeneo ya Ukonga kipunguni moshi bar. Ni hivi ilikuwa ni nyumba kubwa lkn mwenyewe watu aliowaachia wantuzie hiyo nyumba upande mmoja wa nyumba walikuwa wamechimba mchanga nyumba ikabomoka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Masomo ya Pre - form one yameanza kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba. Wazazi na walezi mnatangaziwa kuwaandikisha watoto wenu kituoni kwetu, EBENEZA ACADEMY. Pia, Tunafundisha wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta gari nina budget ya Million 5 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu, naomba mnisaidie kujua godoro Bora kununua la kulalia 5 *6 nchi 6/8 na bei zake kwa mkoa wa Kigoma. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza ukwaju kilo 2100 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
807 Views
Hii ni Kwa Wale wanaotarajia kufanya mtihani wa necta masomo ya chemistry na biology Mwalimu yupo anapatikana kwa gharama nafuu tunafanya solving ya maswali yote kwa topic zote Kwa mawasiliano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye gari tajwa apo na mwenye uwezo wa kupokea malipo ya taratibu tutafutane.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
@elegantglamour #mobilemua arusha napatikana moshono #Mysaloon ukihitaji kufuatwa nyumbani pia huduma ipo, mikoa yote Tz nasafiri, bei zetu ni sawa na bure cheap kabisa na make up ni original...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
kiwanja kinauzwa Luchelele mwanza kina urefu 64 na mapana 35 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyama ya nguruwe poa kabisa inapatikana kwa bei ya chini. Bila malipo yoyote. Mbichi Kilo @8500/= Reja reja na @8000 jumla kuanzia kilo 2 Roast au kavu kwa 14000/- tu Unaletewa popote ulipo...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza zipo jumla lita 2000 yaani dumu 100 za asali mbichi original ya nyuki wakubwa ujazo wa lita 20. Mazungumzo kidogo kwenye bei yapo karibuni. Dar es Salaam pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…